Save

Viambishi Nafsi katika Muundo wa Kitenzi cha Kikuria (E43) [Personal Pronouns in Kuria (E43) Verb Structure]

In: Utafiti
View More View Less
  • 1 Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam
Download Citation Get Permissions

Access options

Get access to the full article by using one of the access options below.

Institutional Login

Log in with Open Athens, Shibboleth, or your institutional credentials

Login via Institution

Purchase

Buy instant access (PDF download and unlimited online access):

€29.95$34.95

Ikisiri

Viambishi nafsi ni miongoni mwa viambishi ambatizi ambavyo hupachikwa mwanzoni mwa vitenzi vya Kibantu (yaani kabla ya mzizi). Kazi kubwa ya viambishi nafsi ni kuleta upatanisho wa kisarufi. Tafiti nyingi zinaonesha kuwa viambishi vya uambatizi hutokea kabla ya mzizi wa kitenzi, tofauti na vile vya unyambulishaji vinavyobadili kategoria au maana vinavyotokea baada ya mzizi. Makala hii inachunguza nafasi ya viambishi nafsi katika kitenzi cha Kikuria (E43). Data iliyotumika ni ya maktabani, hasa kutoka kwenye chapisho la Charwi (2017) na kutoka maandiko mengine ya Kikuria. Nadharia iliyotumika ni Nadharia ya Uambatizi kama inavyoelezwa na Stump (2001), ambayo inafafanua kuwa kila neno linaloambikwa ndani ya sentensi linabeba seti ya sifa za kimofosintaksia. Makala hii imebaini kuwa viambishi hivi vinaweza kutokea kabla au baada ya mzizi wa kitenzi na havibadili kategoria au maana ya neno.

Content Metrics

All Time Past Year Past 30 Days
Abstract Views 1441 909 25
Full Text Views 8 3 0
PDF Views & Downloads 17 9 0