Save

Makosa Ya Kisarufi Katika Makala Andishi Za Habari: Uchunguzi Kifani WaBBC Swahili NaDW Kiswahili

[Grammatical Errors in Written Media News Articles: the Case ofBBCSwahili andDWKiswahili]

In: Utafiti
View More View Less
  • 1 Idara ya Taaluma za Isimu na Fasihi (Department of Linguistics and Literary Studies), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania), Tanzania
Download Citation Get Permissions

Access options

Get access to the full article by using one of the access options below.

Institutional Login

Log in with Open Athens, Shibboleth, or your institutional credentials

Login via Institution

Purchase

Buy instant access (PDF download and unlimited online access):

€29.95$34.95

Ikisiri

Tafiti juu ya matumizi ya lugha katika vyombo vya habari zimethibitisha kuwapo kwa makosa kadhaa ya lugha katika utoaji wa habari. Makala haya, yanamakinikia makosa ya kisarufi katika matini andishi za habari za BBC Swahili na DW Kiswahili. Sampuli ya makala kumi kutoka kila tovuti ya chombo husika zilichanganuliwa kulingana na nadharia ya Corder (1967). Makosa ya udondoshaji, uchopekaji, upatanisho wa kisarufi, umoja na wingi, mpangilio wa vipashio na mantiki yalithibitika. Sababu za kufanyika kwa makosa hayo ni pamoja na: kutomudu sarufi ya Kiswahili, kukosa umakini katika uandishi na uhariri, athari za lugha mama, lugha za kigeni, lugha ya mazungumzo, na uteuzi mbaya wa msamiati. Vilevile, ilibainika kuwa makosa hayo yana athari hasi kwa wazungumzaji wa lugha pamoja na lugha yenyewe. Hata hiyo, tafiti zaidi zinapaswa kufanywa juu ya mazingira yachocheayo uvumilivu wa makosa ya lugha katika utangazaji wa habari kwa Kiswahili.

Content Metrics

All Time Past Year Past 30 Days
Abstract Views 4969 2593 87
Full Text Views 14 11 0
PDF Views & Downloads 37 28 0