Save

Uchambuzi wa Maandiko ya Mwalimu Yatokanayo na Mtaala Juu ya Ufundishaji wa Somo la Kiswahili Nchini Tanzania

[Curricula for Teaching Kiswahili in Tanzania]

In: Utafiti
Authors:
Jovitha Lazaro Mayega Idara ya Saikolojia ya Elimu na Mafunzo ya Mitaala, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam, [Assistant Lecturers, Department of Education Psychology and Curriculum Studies, Dar es Salaam University College of Education] Dar es Salaam Tanzania

Search for other papers by Jovitha Lazaro Mayega in
Current site
Google Scholar
PubMed
Close
and
Joyce Kipanda Idara ya Saikolojia ya Elimu na Mafunzo ya Mitaala, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam, [Assistant Lecturers, Department of Education Psychology and Curriculum Studies, Dar es Salaam University College of Education] Dar es Salaam Tanzania

Search for other papers by Joyce Kipanda in
Current site
Google Scholar
PubMed
Close
Download Citation Get Permissions

Access options

Get access to the full article by using one of the access options below.

Institutional Login

Log in with Open Athens, Shibboleth, or your institutional credentials

Login via Institution

Purchase

Buy instant access (PDF download and unlimited online access):

$34.95

Ikisiri

Makala hii inachambua baadhi ya maandiko muhimu yatokanayo na mtaala kwa kutoa ufafanuzi wa kina juu ya dhana na vipengele mahususi vya maandiko hayo ambavyo mwalimu wa somo la Kiswahili hupaswa kuvizingatia katika uwasilishaji wa somo lake. Lengo la uchambuzi huu ni kuonesha athari za kutotumia vizuri maandiko hayo na umuhimu wake kwa walimu katika kufundishia somo la Kiswahili. Ufafanuzi umejumuisha maandiko ya aina tatu nayo ni muhtasari, azimio la kazi na andalio la somo. Uchambuzi huu unatokana na kuwepo kwa matumizi ya maandiko hayo isiyosahihi, walimu kutokutumia maandiko hayo kwa kigezo cha uhaba wa upatikanaji na ukosekanaji wa ufahamu wa matumizi ya maandiko hayo. Kutokana na sababu hizo na kwa kuwa lugha ya Kiswahili kimawanda asili ya matumizi yake ni Tanzania, ni muhimu kuwepo kwa andiko hili ili kumwezesha mwalimu wa somo la Kiswahili kutumia maandiko hayo kwa ufanisi na kuhimiza uandaaji wa maandiko hayo kwa idadi inayotosheleza ili kupunguza uhaba. Data za kuwezesha uandishi wa makala hii zimepatikana kwa njia ya mapitio ya maandiko na matini mbalimbali na kutafsiri rejea zilizoandikwa kwa lugha za kigeni hasa Kiingereza. Imebainika kupitia makala hii kuwa kuna athari zinazotokana na kutotumia maandiko hayo kwa walimu jambo ambalo limesababisha maandiko haya kutotumika ipasavyo.

Content Metrics

All Time Past Year Past 30 Days
Abstract Views 1971 659 132
Full Text Views 6 3 0
PDF Views & Downloads 21 6 0