Do you want to stay informed about this journal? Click the buttons to subscribe to our alerts.
Makala hii inachambua baadhi ya maandiko muhimu yatokanayo na mtaala kwa kutoa ufafanuzi wa kina juu ya dhana na vipengele mahususi vya maandiko hayo ambavyo mwalimu wa somo la Kiswahili hupaswa kuvizingatia katika uwasilishaji wa somo lake. Lengo la uchambuzi huu ni kuonesha athari za kutotumia vizuri maandiko hayo na umuhimu wake kwa walimu katika kufundishia somo la Kiswahili. Ufafanuzi umejumuisha maandiko ya aina tatu nayo ni muhtasari, azimio la kazi na andalio la somo. Uchambuzi huu unatokana na kuwepo kwa matumizi ya maandiko hayo isiyosahihi, walimu kutokutumia maandiko hayo kwa kigezo cha uhaba wa upatikanaji na ukosekanaji wa ufahamu wa matumizi ya maandiko hayo. Kutokana na sababu hizo na kwa kuwa lugha ya Kiswahili kimawanda asili ya matumizi yake ni Tanzania, ni muhimu kuwepo kwa andiko hili ili kumwezesha mwalimu wa somo la Kiswahili kutumia maandiko hayo kwa ufanisi na kuhimiza uandaaji wa maandiko hayo kwa idadi inayotosheleza ili kupunguza uhaba. Data za kuwezesha uandishi wa makala hii zimepatikana kwa njia ya mapitio ya maandiko na matini mbalimbali na kutafsiri rejea zilizoandikwa kwa lugha za kigeni hasa Kiingereza. Imebainika kupitia makala hii kuwa kuna athari zinazotokana na kutotumia maandiko hayo kwa walimu jambo ambalo limesababisha maandiko haya kutotumika ipasavyo.
There are striking contradictions among education experts concerning basic principles and techniques of Kiswhaili language instruction in Tanzania. These contradicitons are illuminated here through an extensive analysis of syllabi, work schemes, and lesson plans that are in use nationally. The key teaching components of language instruction receiving in-depth attention here include: competency assessment techniques, set texts and topics, course objectives, teaching staff competency, standardized classroom activities and learning techniques. Apart from the prevailing inconsistencies in teaching methodology, Kiswahili teachers have an insufficient amount of material written and produced in Kiswahili about teaching Kiswahili and the language-learning process overall. The bulk of materials constituting the data collected for this study were written originally in English. Part of this project involved translating foreign materials into Kiswahili to respond pro-actively to this teacher-training deficit. Since Tananzia is the largest geographic region where Kiswahili is the lingua franca, it seems incontestably advantageous to reduce such inconsistencies, and to promote tools that will improve the training and quality of teaching and learning of Kiswahili. Towards this end, Kiswahili stakeholders should engage in research that expands the stock of existing curricula-related documents. Further, advocates should develop ways to promote Kiswahili as the mode of instruction for education in general.
Purchase
Buy instant access (PDF download and unlimited online access):
Institutional Login
Log in with Open Athens, Shibboleth, or your institutional credentials
Personal login
Log in with your brill.com account
Awadhi, A. 2013. Graduate and non-graduate teachers classroom performance in teaching English subject in Tanzania secondary schools. Unpublished MA dissertation. Open University of Tanzania. Imepakuliwa kutoka respository.out.ac.tz.
Bloom, B.S. 1956. Taxonomy of educational objectives: The classification of educational goals. London. Longman.
Brown, H.D. 2001. Teaching by principles: An interactive approach to language. Second edition. New York: Addison Wesley Longman.
Clarke, P.A.J., Thomas, C.D. and Vidakovic, D. 2009. Pre service mathematics teachers’ attitudes and developing practices in urban classroom: Are they ‘winging’ it? Research and Practice in Social Science 5(1): 22-43.
Kafyulilo, A.C., Rugambuka, I.B. and Mosses, I. 2012. The implementation of competency based teaching approaches in Tanzania: The case of pre-service teachers at Morogoro teacher training college. Journal of Education and General Studies 1(11): 339-347.
Makunja, G. 2015. Adopting competence-based curriculum to improve quality of secondary education in Tanzania: Is it a dream or reality? International Journal of Education and Research 3(11): 175-188.
Mbunda, F.L. 1976. Mwalimu wa lugha: Kiswahili. Dar es Salaam: Oxford University Press.
Musingafi, M.C.C., Mhute, I., Zebron, S. and Kaseke, K.E. 2015. Planning to teach: Interrogating the link among the curricula, the syllabi, schemes and lesson plans in teaching process. Journal of Education and Practice 6(9): 54-59.
Okai, A.U. 2010. History methods. Lagos: National Open University of Nigeria.
Paulo, A. 2014. Pre-service teacher’s preparedness to implement competence-based curriculum in secondary schools in Tanzania. Dar es Salaam: International Journal of Education and Research 2 (7): 219-230.
Stella, O.M. 2012. Instilling right attitudes towards the use of lesson plans in chemistry instruction in Mosocho Division of Kisii District, Kenya. Journal of Emerging Trends in Educational Research and Policy Studies 3(2): 143-146.
Taasisi ya Elimu Tanzania [TET]. 2005. Muhtasari wa Kiswahili kwa shule za sekondari kidato cha I-IV. Dar es Salaam, Tanzania: WEMU Radio Broadcasting Station.
Taasisi ya Elimu Tanzania [TET]. 2010. Muhtasari wa Kiswahili kwa shule za sekondari kidato cha I-IV. Dar es Salaam. Tanzania. WEMU Radio Broadcasting Station.
Wanjala, F.S. and Kavoi, J.M. 2013. Stadi za mawasiliano na mbinu za kufundishia Kiswahili kwa wanafunzi na walimu. Bukoba, Tanzania: Serengeti Educational Publishers (T) Ltd.
All Time | Past Year | Past 30 Days | |
---|---|---|---|
Abstract Views | 1970 | 658 | 131 |
Full Text Views | 6 | 3 | 0 |
PDF Views & Downloads | 21 | 6 | 0 |