Save

Mdhihiriko na Dhima za Usimulizi Katizi katika Riwaya Teule za Shaaban Robert: Kufikirika, Kusadikika na Adili na Nduguze

[Intrusive Narration in Shaaban Robert’s Novels Kufikirika, Kusadikika and Adili na Nduguze]

In: Utafiti
View More View Less
  • 1 Assistant Lecturer, Department of Foreign Languages and Literature, College of Humanities and Social Sciences, The University of Dodoma, Dodoma, Tanzania
Download Citation Get Permissions

Access options

Get access to the full article by using one of the access options below.

Institutional Login

Log in with Open Athens, Shibboleth, or your institutional credentials

Login via Institution

Purchase

Buy instant access (PDF download and unlimited online access):

€29.95$34.95

Ikisiri

Usimulizi katizi ni mbinu ya Kirasimi inayotawala riwaya za Shaaban Robert. Kupitia mbinu hii mwandishi huyu humkatiza msimuliaji katika bunilizi ili aweze kutoa fundisho fulani alilokusudia. Mbinu hii ya ukatizi imesaidia nathari hizi kutengeneza ukuruba baina ya msomaji na msimuliaji na kumfanya msomaji yeyote aweze kufuatilia kwa makini msuko na mtiririko wa visa katika bunilizi za mwandishi huyu. Kusudi la makala hii ni kuchunguza dhima anuai zinazolengwa na mwandishi kupitia mbinu hii na kubainisha namna dhima hizo zinavyosawiri makusudi ya mwandishi katika kuileta karibu hadhira yake ipate kufahamu kile anachokusudia. Ili kujua hayo, mtafiti alinukuu sehemu mbalimbali za masimulizi zinaonesha mbinu hiyo ya ukatizi kutoka katika riwaya lengwa.

Content Metrics

All Time Past Year Past 30 Days
Abstract Views 391 332 12
Full Text Views 3 3 0
PDF Views & Downloads 12 11 0