Save

Lugha ya Kiswahili na Ukombozi wa Kifikra katika Afrika: Mkabala wa Kimapinduzi wa Frantz Fanon

[Kiswahili Language and Mental Liberation in Africa: Frantz Fanon’s Revolutionary Approach]

In: Utafiti
Author: Aldin Mutembei1
View More View Less
  • 1 Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu Nyerere katika Kiswahili, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Dar es Salaam, Tanzania
Download Citation Get Permissions

Access options

Get access to the full article by using one of the access options below.

Institutional Login

Log in with Open Athens, Shibboleth, or your institutional credentials

Login via Institution

Purchase

Buy instant access (PDF download and unlimited online access):

€29.95$34.95

Ikisiri

Uchaguzi wa mtu kuitumia lugha yake kama njia ya ukombozi huanza na uamuzi wa kifikra. Uamuzi huo wa kifikra ni hatua ya ukombozi. Ni uamuzi ambao hatimaye humpa mtumiaji wa lugha mamlaka ya kuchukua hatua zaidi za kujitegemea. Ni ukombozi wa kiisimu ambao, hatimaye humpatia mtumiaji wa lugha nguvu binafsi. Lugha ni mamlaka; na wakati mwingi mamlaka huzaa nguvu. Ingawa hapa ‘nguvu’ inamaanisha uwezo wa mtu binafsi; na ‘mamlaka’ ni dhana ya kisheria, lakini dhana hizi mbili zinahusiana katika uchambuzi huu wa kujenga uwezeshaji kupitia matumizi ya lugha. Katika kuchunguza mawazo ya Frantz Fanon kuhusu dhana ya ukombozi wa fikra kwa Waafrika kama inavyojitokeza kupitia Lugha ya Kiswahili, nadharia ya Bobby Wright ya fikraufu inatoa nafasi kuangalia namna utambulisho wa watu unavyoweza kubomolewa kupitia matumizi ya lugha isiyokuwa ya asili kwao.

Content Metrics

All Time Past Year Past 30 Days
Abstract Views 725 725 34
Full Text Views 9 9 1
PDF Views & Downloads 23 23 3