Save

Fasihi ya Kiafrika kama nyenzo ya kuelezea historia ya Afrika

[African Literary Works as Tools for Describing African History]

In: Utafiti
Author: Method Samwel1
View More View Less
  • 1 Mhadhiri Mwandamizi (Senior Lecturer), Department of Languages and Literature, Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Dar es Salaam, Tanzania
Download Citation Get Permissions

Access options

Get access to the full article by using one of the access options below.

Institutional Login

Log in with Open Athens, Shibboleth, or your institutional credentials

Login via Institution

Purchase

Buy instant access (PDF download and unlimited online access):

€29.95$34.95

Ikisiri

Wanahistoria na wanafasihi wameendelea kujadili uwezo wa fasihi ya Kiafrika kusawiri historia ya Afrika. Baadhi ya wataalamu wanadai kwamba fasihi ya Kiafrika haina uwezo wa kuakisi ukweli wa kihistoria; wengine wanaona kwamba ni baadhi tu ya tanzu za fasihi zinazoweza kusawiri historia ya jamii fulani. Aidha, wengine wanaona kuwa fasihi, kwa ujumla wake, bila kujali utanzu, husawiri historia ya jamii fulani. Data zilizobainishwa hapa zinaonyesha kwamba aina zote za kazi za fasihi – ushairi, tamthilia, riwaya, na fasihi simulizi – zimesawiri historia ya jamii mahususi za Kiafrika. Hivyo, kazi za fasihi ni miongoni mwa vyanzo muhimu vya data za kihistoria.

Content Metrics

All Time Past Year Past 30 Days
Abstract Views 360 360 11
Full Text Views 9 9 0
PDF Views & Downloads 19 19 0